Pages

Monday, 6 January 2014

Ongezeko la ajali za Pikipiki maarufu kama Bodaboda

Pikipiki ni usafiri rahisi na wa haraka,lakini toka serikali kuruhusu pikipiki kubeba abiria{maarufu kama bodaboda}kumekuwa na ongezeko la ajari zinazosababishwa na madereva mazembe,wasio na utaalamu pamoja na leseni zinazowaruhusu kuendesha vyombo hivyo,pamoja na serikali kujitahidi kupunguza ajali za barabarani bado ajali zinazosababishwa na waendesha pikipiki zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku.

Ni jukumu sasa la jamii nzima kushiriki katika mkakati wa kupunguza ajali za pikipiki,tatizo linaloendelea kuangamiza kundi la vijana,,,vyomba vinavyohusika na usalama wa vyombo {SUMATRA,POLISI pomoja na manispaa nahalmashauri za miji na vijiji kuweka mikakati ya kuhakikisha tatizo hili linakwisha. Pia ni msingi na vyema kama waendesha pikipiki maarufu Bodaboda washauriwe kuunda vyama {associations,org etc} hili waweze kutambulika kirahisi na kupatiwa misaada kama mafunzo,mikopo,,pia ni rahisi kuanzisha utaratibu wa kuweka na kukopa kwa lengo la kuwanufahisha wanachama wa kikundi.

Fuatilia kupitia blog hii upate kujua ni namna gani unaweza kushiriki kupunguza ajali za pikipiki kupitia mpango wa saidia Bodaboda punguza ajali  barabarani  SABOPAB  endelea kufuatilia

 Ajali ya bodaboda Nyamagana Mwanza
Ajali ya bodaboda Dodoma mjini
Ajali ya bodaboda mkoa wa Geita
Ajali ya bodaboda Magomeni Morocco Dar es salaam
Ajali ya bodaboda Tabata Segerea
Ajali ya bodaboda Dodoma
Ajali ya bodaboda- Chanzo ni mwendo kasi
Ajali ya bodaboda - Kimara Stopover
 Ajali ya bodaboda - Kurasini Dar es salaam
Ajali ya bodaboda - CHAZ BABA
Ajali ya Bodaboda - Dar es salaam
Ajali ya bodaboda - Mbeya

 Pikipiki zilizokamatwa kwa makosa mbalimbali ktk mojawapo ya kituo cha polisi

Ajali ya bodaboda - Iringa
Ajali ya bodaboda - Chuma Road/Mbozi road Dar es salaam
Ajali Mbaya ya bodaboda
Ajali ya bodaboda Kibaha
Ajali ya bodaboda - Ipogoro Iringa

Kwa kipindi cha Jan - Jun 2013 mkoa wa Dodoma pekee ulikuwa na jumla ya ajali 48 zilizohusisha bodaboda mbazo 17 zimesababisha vifo vya watu 19 ajali zilizosababisha majeruhi ni 31 na waliojeruhiwa ni 47,,,,,,,endelea ,,ni tatizo linalohitaji ufumbuzi wa haraka.